6/recent/ticker-posts

TANGAZO LA KUJIUNGA NA CHUO CHA KILIMO NA MALIASILI - CANRE (REG/ANE/024)

 

NAFASI ZA MASOMO MWAKA WA 2025/2026

Chuo cha Kilimo na Maliasili (CANRE), chenye Usajili Kamili wa NACTE Namba REG/ANE/024, kinapokea maombi ya kujiunga kwa mwaka wa masomo 2025/2026 katika ngazi zifuatazo:

Kozi zinazotolewa

  • Astashahada (Cheti)
  • Stashahada (Diploma)

Fani

  1. Kilimo (General Agriculture)
  2. Mifugo (Animal Health and Production)

Vigezo vya Ufaulu

  • Kidato cha Nne (O-Level): Ufaulu wa angalau daraja D nne, mojawapo ikiwa Biolojia, Jiografia n.k. 
  • Waliomaliza Astashahada (NTA Level 5): Wanakaribishwa kwa ajili ya Stashahada ya mwaka mmoja (Upgrading) katika Kilimo au Mifugo.
  • Kidato cha Sita (A-Level): Ufaulu wa angalau somo moja la sayansi (principal pass), atasoma Stashahada ya Miaka Miwili.

Mazingira ya Chuo

  • Chuo ni cha Bweni kwa wanafunzi wa kike na kiume.
  • Chuo kinapatikana Dar es Salaam, Manispaa ya Ilala – Kata ya Bonyokwa.
  • Chuo kina mazingira bora ya kusomea na ada nafuu kulingana na huduma zinazotolewa.
  • Wanachuo wanaweza kuomba Mikopo ya Elimu ya Juu kutoka Serikali.

Jinsi ya Kuomba

Wahi mapema! nafasi ni chache, Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 15 Oktoba 2025.

Jaza fomu ya maombi kupitia:
🌐 Tovuti: www.canre.ac.tz
📧 Barua pepe: info@canre.ac.tz
🏢 Au fika moja kwa moja Chuoni, Ofisi ya Uratibu Mafunzo (Co-ordinator of Studies).

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia:

📞 0754 274 392 / 0710 608 922